Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona mimi naona maandishi ya kichina tu, siwezi kusoma chochote. msaada wajemii!!
Hapo pa blue nimepapenda. vp bado unachunga ng'ombe mkuu? au umepata kijana wa kukusaidiaKiluga chao kigumu, ila ntajitsidi kadri ya uwezo wangu,
ching chung= ccm acheni ujinga
Pyong nhung= seif alishinda huo uchgz
Henchung suzuki=kulikua hakuna sababu ya kurudia uchaguzi
Seng ji jung chiung= bao la mkono limepita hapo
Wee seing tungtung 2020=seif vumilia
mpaka 2020 utakua raisi
Bebe nang'ho jiung park= wewe jecha acha hiyo tabia, 2020 seif atakua raisi wako,na lowasa atakua makamo wake
Nimejitahidi kutafsiri kadiri ya uwezo wangu, penye misteki nisahihisheni mazee
Hapo pa blue nimepapenda. vp bado unachunga ng'ombe mkuu? au umepata kijana wa kukusaidia