nahene lolo. dolindele 2020 ndoho tabuMlemhala bhabhaa? Olehaya ginehe?,Nipo town nakula bata na seif shaliff, ng'ombe zangu nimewaachia vijana wangu kule kwa monduli wapate experience kidogo, 2020 huwenda nitakuwa president wenu, hivyo sitopata tabu wakuwalea wale ming'ombe vijana wapo..nahene nkoi dugwibhona 2020, kisukuma kigokidogo tu, ila kimbulu nakijua fulu mzuku
Napenda uwazi na msimamo kama huo. Wamenifurahisha sana waliposema 中國哲學書電子化計劃.
Dah!! Jamaa wapo serious kweli!!Napenda uwazi na msimamo kama huo. Wamenifurahisha sana waliposema 中國哲學書電子化計劃.
Duh hao ni wachina, Korea nao wanasemaje kuhusu huo uchaguzi?
Mhh! Msaada wa kijeshi au apelekewe Jecha?Habari zisizo rasmi zinadai kuwa Rais wa S.Korea anaomba msaada wa JW kumdhibit N.Korea. Uchaguz wa Zanzibar kiaina wamepuuzia.
Sasa tutajuwaje yaliyoandikwa na hii lugha yao lol!
Duh!!,Huu ni Ushauri mzuri,safi sana Wachina.
huyu kweli kaleta mbwembwe tuMajina ya watu/vitu kwa kichina hayaandikwi kutumia alphabets kama mfano hilo la Jecha au Dr. Magufuli, CCM n.k. Hata majina wanatumia "chinese characters". Nakuhakikishia Habari ya uongo hii na haiongelea uchaguzi ea ZNZ.
Nimesikia eti wenamtaka Jecha akafute matokeo ya tafiti za nyuklia za Kim Jong-Un.Mhh! Msaada wa kijeshi au apelekewe Jecha?
Korea wanasema uchaguzi haukuwa wa haki! So ilibaki kidogo tu watume NUCLEAR BOMB wakaona watakao-athirika innocent civiliansDuh hao ni wachina, Korea nao wanasemaje kuhusu huo uchaguzi?
Hawa jamaa sio mchezo wakivimba balaa!Korea wanasema uchaguzi haukuwa wa haki! So ilibaki kidogo tu watume NUCLEAR BOMB wakaona watakao-athirika innocent civilians