China Yatoa Msimamo Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

China Yatoa Msimamo Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

Mlemhala bhabhaa? Olehaya ginehe?,Nipo town nakula bata na seif shaliff, ng'ombe zangu nimewaachia vijana wangu kule kwa monduli wapate experience kidogo, 2020 huwenda nitakuwa president wenu, hivyo sitopata tabu wakuwalea wale ming'ombe vijana wapo..nahene nkoi dugwibhona 2020, kisukuma kigokidogo tu, ila kimbulu nakijua fulu mzuku
nahene lolo. dolindele 2020 ndoho tabu
 
Napenda uwazi na msimamo kama huo. Wamenifurahisha sana waliposema 中國哲學書電子化計劃.
 
Duh hao ni wachina, Korea nao wanasemaje kuhusu huo uchaguzi?
 
Duh hao ni wachina, Korea nao wanasemaje kuhusu huo uchaguzi?

Habari zisizo rasmi zinadai kuwa Rais wa S.Korea anaomba msaada wa JW kumdhibit N.Korea. Uchaguz wa Zanzibar kiaina wamepuuzia.
 
Majina ya watu/vitu kwa kichina hayaandikwi kutumia alphabets kama mfano hilo la Jecha au Dr. Magufuli, CCM n.k. Hata majina wanatumia "chinese characters". Nakuhakikishia Habari ya uongo hii na haiongelea uchaguzi ea ZNZ.
 
huyu kweli kaleta mbwembwe tu
 
Aisee hawa Wachina wajinga sana hapo wanasema Cong Cong Wang kaongoza NECTA kiswahili halafu mnategemea wasitoe support kwa ccm ,hapo mwishoni wamenifurahisha watamwachia Jack Patrick kutoka gerezani
 
Duh hao ni wachina, Korea nao wanasemaje kuhusu huo uchaguzi?
Korea wanasema uchaguzi haukuwa wa haki! So ilibaki kidogo tu watume NUCLEAR BOMB wakaona watakao-athirika innocent civilians
 
Hakika leo nimecheka sana kumbe humu ndani watu kichiness kimewapita kushoto
 
Back
Top Bottom