DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Ubalozi wa China nchini Israel umewataka raia wake kuondoka nchini humo haraka iwezekanavyo, katika tangazo lake la leo Jumanne.
Taarifa ya ubalozi wa China nchini Israel, ilichapishwa kupitia mtandao wa WeChat, na kutaka raia wake kuondoka nchini humo kupitia vivuko vya mpaka wa nchi kavu kwa usalama wao, ikitoa mapendekezo ya kupitia uelekeo wa Jordan.
Soma,pia: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia
Ubalozi huo wa Beijing umeongeza kwamba mzozo huo unaendelea kufukuta, ukisema miundombinu mingi ya raia imeharibiwa, idadi ya majeruhi inaongezeka huku hali ya usalama ikizidi kuwa tete.
Kuongezeka kwa mvutano kumezusha hofu ya kulipuka kwa mzozo mkubwa zaidi, huku Rais wa Marekani Donald Trump akiitaka Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo baada ya mashambulizi ya Israel kuvuruga mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea.
=======
The Chinese embassy in Israel has urged Chinese citizens to return home or leave the country via land border crossings as soon as possible, on grounds that the security situation has deteriorated and Israeli airspace remained closed.
"At present, the Israeli-Iranian conflict continues to escalate, with civilian facilities damaged and civilian casualties increasing, making the security situation even more severe," the embassy warned in a Tuesday notice on WeChat.
Taarifa ya ubalozi wa China nchini Israel, ilichapishwa kupitia mtandao wa WeChat, na kutaka raia wake kuondoka nchini humo kupitia vivuko vya mpaka wa nchi kavu kwa usalama wao, ikitoa mapendekezo ya kupitia uelekeo wa Jordan.
Soma,pia: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia
Ubalozi huo wa Beijing umeongeza kwamba mzozo huo unaendelea kufukuta, ukisema miundombinu mingi ya raia imeharibiwa, idadi ya majeruhi inaongezeka huku hali ya usalama ikizidi kuwa tete.
Kuongezeka kwa mvutano kumezusha hofu ya kulipuka kwa mzozo mkubwa zaidi, huku Rais wa Marekani Donald Trump akiitaka Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo baada ya mashambulizi ya Israel kuvuruga mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea.
Chinese embassy in Israel urges citizens to leave
By ReutersThe Chinese embassy in Israel has urged Chinese citizens to return home or leave the country via land border crossings as soon as possible, on grounds that the security situation has deteriorated and Israeli airspace remained closed.