China yatuma puto la kijasusi Marekani!

PUTO LISHATUNGULIWA KITAMBO MKUU, AJUWAYE HAKAWII
 
Huu ni mkakati wa pamoja against the American people by both China and the US.Hakuna shaka yeyote kwamba serikali ya Marekani imelipwa na Uchina ili iruhusu this unprovoked EMP war against the American people.

Haiwezekani puto hili lenye nyenzo zote za EMP warfare li-cricross America na baada ya kumaliza kazi ndio liwe shot down.Kwa nini hawakuli shoot down upon entry of the American airspace.This is a collaborative mission between the American and Chinese governments.Wasidanganye watu.

May be you can pick something in the link below

PUTO LISHATUNGULIWA KITAMBO MKUU, AJUWAYE HAKAWII
Nilidhani wangelishusha polepole ili wapate data zilizomo kama kweli lilikuwa linatafiti hali ya hewa au lilikuwa jasusi. Sasa wamelilipua kwa missile.
 
Nilidhani wangelishusha polepole ili wapate data zilizomo kama kweli lilikuwa linatafiti hali ya hewa au lilikuwa jasusi. Sasa wamelilipua kwa missile.
Landa wamehofia wangelisogeza kupata data zaidi, maana hawajui linapataje data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…