China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

Wasomeeni aĺbadil
 
Wamevunja manjengo ya waabudu miungu wameacha manjengo yao ya waabudu sanamu...

Wameruka mkojo na wamebaki wanakanyaga mavi...
Mchina yuko right mkuu, labda wewe mwafrika ndo unatakiwa ujitafakari umekosea wapi hadi kutupiwa zigo la dini za watu.

Kila anaeanzisha dini chaka kubwa ni Afrika. Kumbuka sisi ndio watu wa mwisho kwa kuwa na uwezo wa kufikiri, so imekuwa rahisi sisi kupokea dini na miungu ya kiyahudi, kiarabu, kizungu, kichina, kihindi nk. Lakini wote kwa ujumla wao hawajawahi kupokea dini ya mtu mweusi.
 

Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    67.3 KB · Views: 4
 
Haya sasa Hamas waende na huko
 
ndio wapi hapo?
Chinese authorities demolished country's one of the largest evangelical churches this week using dynamite where over 50,000 Christians would offer prayers. The church named Goldren Lampstand located in Shanxi province was one of the two at least churches razed off in recent times.
 
Hivi vijitu havinaga akili ndio maana vinazaliana kama panya tena ndugu kwa ndugu ndo maana nchi nzima vinafanana
Nchi zinazoongoza kwa kuzaliana ndugu kwa ndugu
1. BURKINA FASO
2. PAKISTAN
3. QATAR
4. AFGHANISTAN
5. BAHRAIN
6. JORDAN
7. MAURITANIA
8. SUDAN
9. YEMEN
10. EGYPT

LIKUD Je, majority of the people in these countries are of which religion??
 
Mkuu umesoma vizuri nlichoandika kweli?
Nimesema kama wewe ndio umeanzisha hauwezi kuwa masikini. Hapa namaanisha huko zilipoanzishwa au kwa kiswahili ulichozoea huko "zilipotoka".
Dini zimeanza middle east
Mkuu umesoma vizuri nlichoandika kweli?
Nimesema kama wewe ndio umeanzisha hauwezi kuwa masikini. Hapa namaanisha huko zilipoanzishwa au kwa kiswahili ulichozoea huko "zilipotoka".
Dini zimeanzia middle East then ulaya na uarabuni baadae mbona uarabuni na ulaya sio masikini.
 
Huo ni ugaidi wa kiimani na ukiukwaji wa Uhuru wa kuabudu.
 
labda nikujibu tu kuwa china ni nchi ya kikomunisti, ukristo umepata upinzani mkubwa sana pale. Wachina wana imani zao wanazozikubali, kwa habari ya uislam huko china sijui wanauchukuliaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…