China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29

Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani. Treni hilo limepewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing

Litakuwa na safari kati ya Beijing na Shanghai (1200km) Katika majaribio limetumia masaa 3 tu.

1200km ni sawa na umbali wa kutoka Dar mpaka Kigoma (Kasulu), imagine usafiri kwa masaa 3 tu ni kama umepanda mwewe wa ardhini

Improvements in speed, energy efficiency, interior noise reduction and braking performance
20241231_033728.jpg
20241231_033755.jpg
20241231_033746.jpg
20241231_033751.jpg
20241231_033759.jpg
20241231_041238.jpg

20241231_041251.jpg
20241231_041314.jpg

20241231_041309.jpg
20241231_041255.jpg

Fast, On time, Comfortable. China never stops!!! Always breaking the rules and setting new standards
 
Kwa mara nyingine tena China imeonyesha high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450k/hr mnamo Desemba 29

Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi. Treni hilo lililipewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing

Litakuwa na safari kati ya Beijing na Shanghai (1100km) Katika majaribio limetumia masaa 3 tu

Improvements in speed, energy efficiency, interior noise reduction and braking performance

Sisi tunajiona wajanja, K Vant wamezindua K Vant gold, kujipongeza na mafanikio ya miaka 20
 
Tazara walijenga na tunawalipa mpk leo, ilikua nchi ya kijamaa, sasa ni ya kibepari.
Hamna ubora kwenye kila kitu wao wanajali hela tu.
Wanakuuzia kitu chenye life span ndogo kikifa utupe ununue kipya.
Tunawalipa nini? Wachina waliijenga hiyo reli ilikuww financed na supported na serikali ya China

TAZARA inatushinda na bado Wachina wanatupa support kuoperate
 
Treni la Mchina linaweza kumiss breki likipitiliza vituo, siamini chochote toka kwa mchina,hata wenyewe ni km sio binadamu hivi
Ni lini mara ya mwisho ulisikia treni la Mchina limemiss breki au kupata ajali?

Pamoja na kuwa na treni nyingi za umeme na coverage kubwa zaidi ya km 45,000 kuliko mataifa yote yenye HSR ukiyaunganisha

Bado HSR ya China iko safer jiulize mara ya mwisho kusikia ajali ya treni China ilikuwa ni lini?

It means treni na system zina usalama mkubwa imekuwa na safety record nzuri sana
 
Hili ndio treni la kasi sasa hii ni kama umepanda ndege sio SGR ya Mturuki takataka
Weee jamaaa ni sintachelea kukuita mjinga wala sina budi kusema wewe ni mpumbavu kabisa SGR tren unaiita takataka ? Juz nimepanda sgr ya saa 1200 mpk Dom 0345 nikachukua gar ndogo mpka Tabora 0800 nipo Tabora
Mpumbavu unakuja kusema takakata wakati nimeokoa masaa karibu 6 Dar to Tbr
 
SGR ya Mturuki ni takataka huwezi kuifananisha na hiyo high speed train ya Mchina. Unapajua Kasulu? Mchina anakufikisha kwa masaa 3 tu kutokea Dar
 
Ni lini mara ya mwisho ulisikia treni la Mchina limemiss breki au kupata ajali?

Pamoja na kuwa na treni nyingi za umeme na coverage kubwa zaidi ya km 45,000 kuliko mataifs yote yenye HSR ukiyaunganisha

Bado HSR ya China iko safer jiulize mara ya mwisho kusikia ajali ya treni China ilikuwa ni lini?

It means treni na system zina usalama mkubwa imekuwa na safety record nzuri sana
We panda hizo, mi siamini chochote cha mchina.
 
SGR ya Mturuki ni takataka huwezi kuifananisha na hiyo high speed train ya Mchina. Unapajua Kasulu? Mchina anakufikisha kwa masaa 3 tu kutokea Dar
Wew yaan unafananisha SGR na HSR takataka ni wewe aisee af unaambia yeye ni wakwanza yaan Ata mataifa mengine makubwa hakuna af unatoa povu aisee kwa sgr hii tujipige kifuani mara tatu
 
Tazara walijenga na tunawalipa mpk leo, ilikua nchi ya kijamaa, sasa ni ya kibepari.
Hamna ubora kwenye kila kitu wao wanajali hela tu.
Wanakuuzia kitu chenye life span ndogo kikifa utupe ununue kipya.
Tujifunze mazuri kutoka kwa wenzetu....mazuri zaidi hupatikana kwa KUJITOA WENYEWE na si kwa KUPEWA NA YEYOTE.....
 
Back
Top Bottom