Hakuna nchi katika zilizoendelea ambazo hazimchunguzi mwenzake, kuna tofauti kati ya USA kutumia hackers ama ku plant chips kwenye target yao na CHINA kutumia HUAWEI kuiba data za serikali.
Yaani anacho kisema USA, wewe unakishadadia, sawa sawa na propaganda za weapons of mass destruction za iraq , it seems hujui international politics za black mailing etc