Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Kwa mara ya kwanza duniani katika historia ya biashara ya kimataifa China limekuwa taifa la kwanza kuweka rekodi ya trade surplus ya $1 trillion
Kwa waliosoma commerce au economics wanakumbuka hizi terms mbili trade surplus na trade deficit
Trade surplus au ziada ya biashara ni kiasi ambacho thamani ya mauzo ya nje ya nchi inazidi gharama ya uagizaji wake.
Kwa waliosoma commerce au economics wanakumbuka hizi terms mbili trade surplus na trade deficit
Trade surplus au ziada ya biashara ni kiasi ambacho thamani ya mauzo ya nje ya nchi inazidi gharama ya uagizaji wake.
- (A trade surplus is an economic measure of a positive balance of trade, where a country's exports exceed its imports.)
Trade deficit au nakishi ya kibiashara ni kiasi ambacho gharama ya uagizaji wa nchi inazidi thamani ya mauzo yake nje.
- (A trade deficit occurs when a country buys more goods than it sells)
Mara zote trade surplus ni indicator ya economic growth na healthy economy
Trump alipoanzisha vita vya kibiashara "trade war & tariffs" dhidi ya China mwaka 2018, trade surplus ya China ilikuwa $350 billion tu.
Lakini kufikia 2024 China’s trade surplus imefikia $1 trillion. Imagine ni mara 3 ya ilivyokuwa 2018!
Vikwazo vya kibiashara vya Marekani kwa China vimethibitika kuwa useless.
Mara ya mwisho Marekani kuwa na trade surplus ilikuwa mwaka 1975 kuanzia hapo imekuwa na trade deficit mpaka sasa. Mwaka 2024 trade deficit ya Marekani ilikuwa zaidi ya $1 trillion
Rising dragon fading eagle