Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Kila kitu anachofanya china mbona mnamlinganisha na marekani?. Inaonekana marekani ni lijitu likubwaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu anachofanya china mbona mnamlinganisha na marekani?. Inaonekana marekani ni lijitu likubwaaa.
Kwa miaka mingi Marekani imekuwa ikisisitiza free trade na ikawa moja ya waasisi wa shirika la biashara duniani WTO ili kupigania free trade duniani ila kwa sasa anapodeal na China hakuna tena free trade ni mwendo wa protectionism policy 🤣🤣🤣Kwa kuwa Marekani anajitahidi kuifanyia figisu China ili kuiangusha katika sci tech na trade ila inashindwa
Na kwa taarifa yako Marekani sio lijitu likubwa kwa China ndio maana hawezi kucompete na China fairly lazima acheze na tariffs, ban, decoupling na derisking dhidi ya China ila bado anatulizwa
Wabongo usa na isreal yao huwaambii kitu hata waaharibu kiasi gana jamaa atawasifia tuJamaa yeye anakuja na maelezo ya kueleweka ila wewe kwenye kushoboka na marekani hata hoja huwezi kujenga zaidi ya kutukana.
Nakuona kwenye majukwaa mengi unaonekama upo tayari hata kutuuza waafrika wote kwaajili ya marekani
Umesema vyemaKwa miaka mingi Marekani imekuwa ikisisitiza free trade na ikawa moja ya waasisi wa shirika la biashara duniani WTO ili kupigania free trade duniani ila kwa sasa anapodeal na China hakuna tena free trade ni mwendo wa protectionism policy 🤣🤣🤣
Nafikiri kwa sasa China ndio lijitu likubwa na sio Marekani
Cc Gatabhanya