China’s relationship with Africa in a cartoon description

China’s relationship with Africa in a cartoon description

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1633653035901.png
 
Halafu sijasikiaga watu wakizamia kwenda China.(rate kubwa)
 
China banaa....

Pamoja na urafiki tulionao....ila.....

Mmmh......
 
Na km viongoz wetu wakiendelea kuwachekea pindi siku watamwaga biashara wenyewe barabaran km machinga
Ngoja tufikie huko, wakati huo Machinga watz watakuwa wanauza vitu vya pale kwenye viwanja vya bunge, na ole wake spika wa wakati huo alete fyoko fyoko
 
Mzee wa upako alisema ni ulofa wetu kwani hatulazimishwi kutia sain.
Huwa sioni sababu ya kuwalaumu hawa watu wa mabara mengine na kuacha ubinafsi wetu.

Sisi tunahitaji kustaarabika na kuacha ubinafsi.
 
Back
Top Bottom