[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]mkuu utaua speaker yako tu sijui lolote
Mkuu bado ipo hii!!!??Sema ni vile budget yako ndogo leo ningekususia jbl charger 5kwa bei poa org kabisa used kwa miez miwili
Jbl sio product ya kuishakizembezembe tulete kibunda nikuachieMkuu bado ipo hii!!!??
Mwanangu unapata vyuma vya JBL wewe ngoja Upate utaje niambie Hapa anyway kama kibunda kipo sogea Hapa nikuachie flip 5Mi ninako ka bluetooth mode mwaka wa pili sasa...dunian ni kujua lengo lako tu mengine mbwembwe tu...jbl onkyo sijui saa ya nan
Bei ganPia naitoa Anker soundcore 2
Hawa jamaa ni hatar sn
Mi' mwenyewe ninacho cha Kichina cha Aborder AB1671BT. Nacho ukiwasha kinapiga kelele hatari, hakina option ya kuset kisipige kelele unapokiwasha.Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk
Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina
Kama kawaida ya mchina anabidhaa anavutunda sana na zingine zinakua na unafuu kidogo
Lengo la uzi huu ni kutaja aina nzuri na yenye unafuu kwa hizi chinese speakers kama unazijua au umewahi kutumia
Bajeti 30k
Nilinunua moja inaitwa LP kwa 15k
Tatizo lake kubwa inapiga kelele balaa wakati unapoiwasha, aisee ile kelele nyumba nzima wanaamka ukiiwasha usiku [emoji23][emoji23]
Na hakuna option ya kuizima hiyo on/off sound
Kwenye sound ipo decent
Kuna muda nashindwa kuiwasha kwasababu naogopa kusumbua watu
Ukiwa huna fedha hata nyumba ya nyasi utajifariji kwa kusema ''kwani silali usingizi kama wanaolala kwenye ma-bangalow? Lakini ajabu ukipata fedha utaikimbia hiyo nyumba ya nyasi haraka sana na kusema ''nilikuwa naishi maisha ya msoto kweli kweli hata usingizi hauji''Mi ninako ka bluetooth mode mwaka wa pili sasa...dunian ni kujua lengo lako tu mengine mbwembwe tu...jbl onkyo sijui saa ya nan
Kweli na wanasema...Ukiwa huna fedha hata nyumba ya nyasi utajifariji kwa kusema ''kwani silali usingizi kama wanaolala kwenye ma-bangalow? Lakini ajabu ukipata fedha utaikimbia hiyo nyumba ya nyasi haraka sana na kusema ''nilikuwa naishi maisha ya msoto kweli kweli hata usingizi hauji''
Siku ukijua lengo la kuvaa saa siyo kuangalia muda tu basi hapo utakuwa umejua kwa nini duniani kuna matajiri na mafukara.Kweli na wanasema...
Siku ukijua kuwa saa ya 2m na ile ya 2k zote zinakupa Muda sawa...basi hapo umekua kiakili
Izo speaker zikikaribia kuisha Charge ndio utachoka kwa izo kelele zake...Battery low please chargeWakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk
Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina
Kama kawaida ya mchina anabidhaa anavutunda sana na zingine zinakua na unafuu kidogo
Lengo la uzi huu ni kutaja aina nzuri na yenye unafuu kwa hizi chinese speakers kama unazijua au umewahi kutumia
Bajeti 30k
Nilinunua moja inaitwa LP kwa 15k
Tatizo lake kubwa inapiga kelele balaa wakati unapoiwasha, aisee ile kelele nyumba nzima wanaamka ukiiwasha usiku [emoji23][emoji23]
Na hakuna option ya kuizima hiyo on/off sound
Kwenye sound ipo decent
Kuna muda nashindwa kuiwasha kwasababu naogopa kusumbua watu
Kaka 140 tu ngoma bado mpya ina wiki 1 tuBei gan
Kweli na mafukara ndio wanaongoza kuvaa vitu vya gharamaSiku ukijua lengo la kuvaa saa siyo kuangalia muda tu basi hapo utakuwa umejua kwa nini duniani kuna matajiri na mafukara.
Wangekuwa mafukara wangepata wapi fedha ya kununua?Kweli na mafukara ndio wanaongoza kuvaa vitu vya gharama
Dogo una akili za kifukara kweliWangekuwa mafukara wangepata wapi fedha ya kununua?
We ni mjinga kwa sababu umeokoteza mchoro na kuutumia kama point ya kuonyesha ukweli wa unayoyasema. Hell, NO. Nasema hivi kwa sababu mimi nimebahatika kutembea duniani na nimeona mazingira ya nchi nyingi na jinsi watu wanavyoishi. Fukara atakwenda kununua saa ya Jacob and Co ya thamani ya dola milioni moja? Fukara atakwenda kununu Rolls Royce? Fukara atanunua private jet au atakodi ndege? Dunia yetu imejaa bidhaa na huduma za kifahari kwa bei ambazo mtu kama wewe huwezi hata kudhani, ni mafukara wananunua? Bila shaka wote wanaofanya haya ni matajiri. Tatizo wewe unadhani Bongo ndiyo dunia na ukiona mpulugwa mshamba mmoja hapo Dar amenunua kiatu cha sh milioni moja tayari unafanya conclusion. NB: angalia nimejiunga JF lini kabla kudhani una-chat na dogo size yako.Dogo una akili za kifukara kweli
View attachment 3136840
Vipi mkuu, bado ipo??? Kipindi unapost nilikua sinaga bando.Sema ni vile budget yako ndogo leo ningekususia jbl charger 5kwa bei poa org kabisa used kwa miez miwili
Dah!!! Mkuu diss yako ni next level diss.
Hapo kijana upo na kidemu chako magetoni usiku wa manane, una connect bluututhi ili majirani wasisikie kipindi unahamishiwa gonorea.Ze blutus divais is conektidas saksesfulli😂😂😂