Chinese Bluetooth Speakers

Chinese Bluetooth Speakers

Mi ninako ka bluetooth mode mwaka wa pili sasa...dunian ni kujua lengo lako tu mengine mbwembwe tu...jbl onkyo sijui saa ya nan
Mwanangu unapata vyuma vya JBL wewe ngoja Upate utaje niambie Hapa anyway kama kibunda kipo sogea Hapa nikuachie flip 5
 
Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk

Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina
Kama kawaida ya mchina anabidhaa anavutunda sana na zingine zinakua na unafuu kidogo

Lengo la uzi huu ni kutaja aina nzuri na yenye unafuu kwa hizi chinese speakers kama unazijua au umewahi kutumia
Bajeti 30k

Nilinunua moja inaitwa LP kwa 15k
Tatizo lake kubwa inapiga kelele balaa wakati unapoiwasha, aisee ile kelele nyumba nzima wanaamka ukiiwasha usiku [emoji23][emoji23]
Na hakuna option ya kuizima hiyo on/off sound
Kwenye sound ipo decent
Kuna muda nashindwa kuiwasha kwasababu naogopa kusumbua watu
Mi' mwenyewe ninacho cha Kichina cha Aborder AB1671BT. Nacho ukiwasha kinapiga kelele hatari, hakina option ya kuset kisipige kelele unapokiwasha.

Dawa yake moja, wakati wa kukiwasha nakiwashia chini ya mto huku nimekikandamiza kwa nguvu.
 
Mi ninako ka bluetooth mode mwaka wa pili sasa...dunian ni kujua lengo lako tu mengine mbwembwe tu...jbl onkyo sijui saa ya nan
Ukiwa huna fedha hata nyumba ya nyasi utajifariji kwa kusema ''kwani silali usingizi kama wanaolala kwenye ma-bangalow? Lakini ajabu ukipata fedha utaikimbia hiyo nyumba ya nyasi haraka sana na kusema ''nilikuwa naishi maisha ya msoto kweli kweli hata usingizi hauji''
 
Kweli na wanasema...
Siku ukijua kuwa saa ya 2m na ile ya 2k zote zinakupa Muda sawa...basi hapo umekua kiakili
 
Kweli na wanasema...
Siku ukijua kuwa saa ya 2m na ile ya 2k zote zinakupa Muda sawa...basi hapo umekua kiakili
Siku ukijua lengo la kuvaa saa siyo kuangalia muda tu basi hapo utakuwa umejua kwa nini duniani kuna matajiri na mafukara.
 
Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk

Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina
Kama kawaida ya mchina anabidhaa anavutunda sana na zingine zinakua na unafuu kidogo

Lengo la uzi huu ni kutaja aina nzuri na yenye unafuu kwa hizi chinese speakers kama unazijua au umewahi kutumia
Bajeti 30k

Nilinunua moja inaitwa LP kwa 15k
Tatizo lake kubwa inapiga kelele balaa wakati unapoiwasha, aisee ile kelele nyumba nzima wanaamka ukiiwasha usiku [emoji23][emoji23]
Na hakuna option ya kuizima hiyo on/off sound
Kwenye sound ipo decent
Kuna muda nashindwa kuiwasha kwasababu naogopa kusumbua watu
Izo speaker zikikaribia kuisha Charge ndio utachoka kwa izo kelele zake...Battery low please charge
 
Wangekuwa mafukara wangepata wapi fedha ya kununua?
Dogo una akili za kifukara kweli
Screenshot_20241028-003902.jpg
 
Dogo una akili za kifukara kweli
View attachment 3136840
We ni mjinga kwa sababu umeokoteza mchoro na kuutumia kama point ya kuonyesha ukweli wa unayoyasema. Hell, NO. Nasema hivi kwa sababu mimi nimebahatika kutembea duniani na nimeona mazingira ya nchi nyingi na jinsi watu wanavyoishi. Fukara atakwenda kununua saa ya Jacob and Co ya thamani ya dola milioni moja? Fukara atakwenda kununu Rolls Royce? Fukara atanunua private jet au atakodi ndege? Dunia yetu imejaa bidhaa na huduma za kifahari kwa bei ambazo mtu kama wewe huwezi hata kudhani, ni mafukara wananunua? Bila shaka wote wanaofanya haya ni matajiri. Tatizo wewe unadhani Bongo ndiyo dunia na ukiona mpulugwa mshamba mmoja hapo Dar amenunua kiatu cha sh milioni moja tayari unafanya conclusion. NB: angalia nimejiunga JF lini kabla kudhani una-chat na dogo size yako.
 
hivi vya bei rahisi saa ya kuwasha inadidi uvikabe na blancket zito ili kupunguza kelele
 
Back
Top Bottom