Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Ipo mkuVipi mkuu, bado ipo??? Kipindi unapost nilikua sinaga bando.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo mkuVipi mkuu, bado ipo??? Kipindi unapost nilikua sinaga bando.
Huyo ni wewe, halafu kuna sisi tuliokuja mjini na shangazi kaja, vyote tumevijua kwa hisani ya chuo mwaka wa kwanza🤣😂Mi Sina haja ya kudownload app nikiziona Tu na hiii og au fake yaani inshort uwezi nidanganya kuhusu JBL okyo pioneer Anker Sony jvc
Kama unaweza kufanya mwenyewe fanya,kama huwezi mpelekee fundi ingawaje ni kitu kidogo sana kufanya.Tatizo lake kubwa inapiga kelele balaa wakati unapoiwasha, aisee ile kelele nyumba nzima wanaamka ukiiwasha usiku