ojey
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 1,148
- 816
Just google, am too busy to post pics.Give me photos of Elegant buildings like these. Dar es salaam
View attachment 480748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just google, am too busy to post pics.Give me photos of Elegant buildings like these. Dar es salaam
View attachment 480748
You don't have classic buildings. Simple.Just google, am too busy to post pics.
You don't have classic buildings. Simple.
Depay is right...sometimes you just keep quiet and watch...dont embarras urself like thisHahaha. Safi sana wakenya nyie mnacho kiweza ni hicho tu. Lakini deal za international waachieni TZ. Mbwembwe zenu za kulaghai na kuwa na CoW zinakufa kwa kasi ya ajabu. Mlikuwa mnafanya sisi tuko kimya. Sasa hivi viboko mnavyo chapwa inabidi mtulie. Tz ni zaidi ya ujuiavyo. Ndiyo yenye ushawishi mkubwa AU na UN.
Juzi tu mwakilishi wa Ujeruman kaja kuiomba TZ iwaunge mkono kuingia kwenye kamati ya usalama UN. Tukiwaambia mtupigie magoti mnajifanya kiburi. Mtaangukia pua kila kitu.
there you go...Give me photos of Elegant buildings like these. Dar es salaam
View attachment 480748
Hadi Leo hii Nyumba hazina wapangaji wala wanunuzi.Give me photos of Elegant buildings like these. Dar es salaam
View attachment 480748
hahaha....Hadi Leo hii Nyumba hazina wapangaji wala wanunuzi.
kila siku mapicha ni haya tu.
Lete mapya yenu tuonekila siku mapicha ni haya tu.
hehe hii upuzi ndio unaleta hapa...mji ndio huu Nairobeeee
Upuuzi ni huo uliouweka hapo juuhehe hii upuzi ndio unaleta hapa
typical Danganyikan...Upuuzi ni huo uliouweka hapo juu
Nitafutie chumba Kibera just for 2 weeks nakuja kufanya research, nitakulipa.typical Danganyikan...
Wanajazana huku kwetu. Inaonekana kwao kumejaa...Kila wakija hawarudi wote
huwezi ukafika bei ya Nairobi hata kama ni kule Kibera...too good for a poor tanzanianNitafutie chumba Kibera just for 2 weeks nakuja kufanya research, nitakulipa.
Pole sana ndugu. Nadhani hupendi kuambiwa ukweli. Inasikitisha sana jinsi unavyoonesha unyonge wako. Ila huo ni ujumbe mchungu sana kwako.