Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu;
Tuslaumu wachina, je vijana wa kitanzania ukiwapa kazi watafanya kweli?.Lazima tujiulize kwanza, je vijana tuna nidhamu ya kazi?.Make katika sehemu ya kazi nilizopitia nimekuwa na vijana wengi sana, lakini kufika kazini ni saa tatu au saa nne eti shida ya usafiri.Nimekuwa sehemu nyingi nimeona haya mambo.
Watoto wa kike ndo usiseme kabisa anafika saa tatu na anataka aondoke saa nane kurudi nyumbani
Mkuu tunaharibu wenyewe, tuslaumu mtu yeyote.
Tunaitaji kuwa na nidhamu yakazi, ebu tuchukulie mfano,nenda sekita za serikali ambazo wanafika na kuweka sahihi kwenye kitabu na kuondoka, ni wangapi wanakuja wamelewa kazini.Nenda muhimbili pale wanaita first track,utakuta foreni ya watu wanasubiri kulipia malipo ili wakapate hudumu, mhudumu mwenyewe bila kujali anapiga simu na kuzunguka kwenye kiti akifurahia watu walivyopanga foreni na bila kujali mtu gani anaumwa.Nenda pale aridhi makao makuu, kuna bango limeandikwa kwamba anayeitaji huduma aje kuanzia saa tatu asubuhi.Huduma na panctuality kwenye kazi sisi watanzania ni ZEROOOOO!, upo mkuu.
Mwisho nakukalibisha ufanye kazi kwenye makampuni ya wazungu uone panctuality na nidhamu ya kazi ilivyo.
Hii ndiyo Tanzania ya Lowassa.
Kwani hii imetokea TAnzania???? BTW sio suala la usanii au kushangaaa kwa jinsi teknologia inavyoendelea hii inawezekana kabisa, hujawahi kusikia nchi iliyosogeza magorofa kilomita kadhaa???????