Chinese envoy: No Kenyan assets have been mortgaged for SGR loan

Kingereza kiliwapiga chenga.
Great to learn that no railway has reached near break even within the first year like our SGR.
Operating cost 12b and we made 10b

Ahaaa ha ha, the facility is nearing break even. i.e good story.
Next time will be closer,
another time will be approaching,
again will be, it's about to reach the point.
so on

Nilihangaika kukuelimisha somo la socio-economic impact ya hii reli ukadumaa hutaki kuelewa, hapo tulipungukiwa na bilioni mbili tu kwenye operational lakini waza
- Viwanda vinavyoibuka kwa ajili ya hii reli
- Unafuu kwa wana biashara kwa kupungua gharama za uendeshaji
- Miundo mbinu na ujenzi unaoendelea kuibuka kwenye miji midogo inayopitiwa na hii reli
- Utalii kuongezeka
- Unafuu kwa mataifa jirani yanaitegemea
- Upungufu wa gharama za utunzaji na udumishaji wa barabara

Naweza nikaandika nyingi tu, ila wewe ni ule ule na kicheko chako hutapatia hata moja......hehehe
 
Ahaaa haaa haaa
Bro this is not a concessional loan. Those blah blah of Socio-economic Internal rate of return, MChina hana habari nayo. Yeye anataka hela yake. Mambo sijui ya closely to break even point, hayo ni YENU.
 
Mmeshatuma parachichi huko maana nasikia mnatakiwa kuzimenya na mzifrizi kwa -42 centigrade.
 
Hatimaye itatufaidi kama nchi na wakulima WETU. Market of 1.4billion people with each household consuming an average of 3 avocados daily. Only African country allowed to export avocados to China. Tafakari ndugu. Wacha dharau.
 
Hakuna neno kama hilo (itatufaidi) kwenye kamusi kuu ya kiswahili iliyoandaliwa na Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili ya Chuo ikuu Cha Dar es Salaam.
 
Enhe.. asante lakini umeelewa kile ninacho maanisha sio?

Hehe waKenya kupata kibali kufunza AK imewaingia sawasawa. Ugua pole.
 
There have been fears that in the event of Kenya defaulting on the loans, key assets like Kenya Ports Authority and Kenya Railways Corporation could be seized.
These assumptions are groundless and I don’t think Kenya will default. Sometimes I think we should have common sense. Kenya is a sovereign state. Any asset in your country is protected by international law and should be respected by other countries. These are unnecessary worries.

mwehu kweli wewe unatusomea vifungu kama biblia/...amekwambia groundless and DONT THINK KENYA WILL DEFAUL unachekelea huoni maneno ya mwanasiasa hayo......sasa nyie zipigeni tu hizo ela kama mlivyopiga dhahabu ya waarabu muone wachina watawafanya nn
Mwehu ni nyanyako mzaa mamako
 
Huyo ambassador kaongea in the capacity ya Serikali ya China na ni kweli Serikali ya China haijataka collateral yoyote lakini mkataba wa mkopo ni wa benki ambayo ni private hao ndio wenye kipengele hicho cha collateral.
 
Kingereza kiliwapiga chenga.
Great to learn that no railway has reached near break even within the first year like our SGR.
Operating cost 12b and we made 10b

Jua kutofautisha kati ya mikataba ya kiserikali na private entities waliotoa mkopo wa sgr sio serikali ya china ni private entities hao ndio wanakipengele hicho kwenye mkataba kwa hiyo alichoongea balozi yuko sahihi kabisa
 
Enhe.. asante lakini umeelewa kile ninacho maanisha sio?

Hehe waKenya kupata kibali kufunza AK imewaingia sawasawa. Ugua pole.

Ahaaa haaa haaa
Hamna KITU kinachoitwa kufunza katika kiswahili.

Nyie nendeni tu mkafundise. HATA mkienda kufundisha sayari ya Zuhura, sisi hatuna shida.
 
DUUU, matusi ya NINI humu TENA?
Yeye ndo alianza kunitusi, watu wajifunze kujadili bila kutumia matusi au kejeli ndogondogo, na kama unahisi kilicho jadiliwa na mwenzio si kitu cha maana basi pita kimya kimya na uende ujadili na wale unaona ni hadhi yako... Lakini kuanzia kutukana watu usiowajua kisa eti unatofautiana nao kimaoni, sitakaa kimya, ningeelewa ingekua ni mtu kama wewe au Geza, au kadoda..etc watu ambao tumezoeana kwa miaka sasa lakini ukiamka asubuhi na jirani yako ambae haumjui vizuri akutusi hapo ndo utajua pia sisi tunajua kuyaregesha yalipotoka.
 
Back
Top Bottom