MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
do not blame Tanzanians nyerere died blaming Kenya, the current generation will also die blaming Kenya. The truth is they don't want to face reality that their county is backward. They think dreams are reality. They are too lazy and too uneducated to think rationally. They do not have any economic contribution to eac or to sadc. Infact south africa and arabs own Tanzania. Imagine small countries like Uganda and Rwanda sell more to Kenya than Tanzania.
Nyerere alibeba akili ya watz na akakufa akaenda nazo.
Mwanzoni nilikua nasoma kuhusu Nyerere na kumuona kama aliyekua mtu wa maana sana, ila ukichunguza kwa umakini aliwaharibu hawa watu naa kuwafanya wawe wenye wivu, majungu, wanafiki na wazembe wa kutupwa. Ujamaa wake ndio uliwaathiri kiasi hiki na itachukua vizazi kadhaa kabla kuwatoka kabisa, ila kwa sasa itabidi kuwavumilia kama walivyo.
Jaribu kuishi nao ndio utaona ninachokisema, hata wenyewe kwa wenyewe huhujumiana japo kimya kimya, kila anayejaribu kutoka wanamkwamisha ilmradi wabaki chini wote.