Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aye aye captainHujakutana na Davy Jones au Barbossa
Chai hiiManowari 300?!
Davy jones mtu na nusu ila MAPENZI yalimrostisha CALYPSO alikuwa kiboko yakeHujakutana na Davy Jones au Barbossa
Hivi unajua manuwari? Au ulitaka kuandika pikipiki?
Manowari(WARSHIP) ni meri vitaHaupo serious au pengine haujui kipi unakisema...kikundi cha watu kimiliki MANOWARI 300...au unadhan manowari ni kama boti
Kumbuka hiyo ni miaka kabla ya Yesu mkuu, anaweza kuwa sahihiHivi unajua manuwari? Au ulitaka kuandika pikipiki?