Ching Shih: Haramia hatari kuwahi kutokea

Unaambiwa mwandishi ni kama boya la manowari 300.
Unaambiwa ali copy na ku paste akatia na maboya yake humo.
 
Hiyo picha ni ya Yule mama kwenye Pirate of Caribian
 
Mtoa mada unazijua Manowari au ulitaka kuandika baiskeli ukakosea?
 
Hivi unajua manuwari? Au ulitaka kuandika pikipiki?


Haupo serious au pengine haujui kipi unakisema...kikundi cha watu kimiliki MANOWARI 300...au unadhan manowari ni kama boti
Manowari(WARSHIP) ni meri vita
Manowari zipo tangu 2000 BC
Nadhani ulihisi alimaanisha NYAMBIZI(SUBMARINE)

Hvyo PIRATES kumiliki 300+ Manowari ni jambo ambalo linawezekana kabisa
hasa kwa kipindi hicho wakitumia tekinorojia ya TANGA
kumbuka wao hawana LAND
like the CAPTAIN OF THE FLYING DUTCHMAN 10 years at the SEA 1 day at the Ashore LMAO[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…