Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Huenda hakuna anayekwepa watu hawana hicho chakuingiza ili walipe 😂Kodi ziitumika vizuri hakuna Mtu atakaekwepa.
Wengine hatupati Ila anayepata zaidi wastani unagawiwa kwa idadi maisha yanaendaWastani wa kipato cha Mtanzania ni 250000 kwa mwezi.
Uko sahihiKila mtu kulipa Kodi moja kwa moja haiwezekani.. Na kusema kuwa watanzania hawalipi Kodi ni kutotutendea haki.. Kila anayenunua bidhaa dukani huyo ni mlipa Kodi.. Kumbuka kuwa wafanyabiashara wote Kodi wanazolipa huwa wanazijumuisha kwenye bei za bidhaa zao kwa wateja wao.. Kwa hiyo hapa mlipa Kodi mkubwa ni mteja wa mwisho na wala sio huyu anayekusanya na kuzipeleka TRA,..
Kwa mifumo yetu ya uchumi ni ngumu sana kuwa na Walipa Kodi wengi wa moja kwa moja.. Hii ni kwa sababu shughuli nyingi za uchumi sio rasmi.. Na hakuna utaratibu wa makundi haya kulipia Kodi vipato vyao..Uko sahihi
Ila naona mleta uzi amezungumzia direct tax na sio indirect kama hiyo ya VAT unayozungumzia
Ila maelezo yako mengine yote uko sahih na nakuunga mkono
Ili makudanyo yaongezeke nafikiri tungeanza na kupambana kuwe nashughuli nyingi rasmi za kiuchumi tupate angalau watanzania milioni 20 wanaolipa direct tax. Kati ya milion 33,000,000 Hawa Milion 13 watasaidia kwenye indirect hao wanaobaki Kama milioni 30 niwatoto wadogo under 15 na Wazee wetu over 65Kwa mifumo yetu ya uchumi ni ngumu sana kuwa na Walipa Kodi wengi wa moja kwa moja.. Hii ni kwa sababu shughuli nyingi za uchumi sio rasmi.. Na hakuna utaratibu wa makundi haya kulipia Kodi vipato vyao..
Safi kabisa..Kabla ya kufikiria kukusanya Kodi basi tutengeneze walipa Kodi .Ili makudanyo yaongezeke nafikiri tungeanza na kupambana kuwe nashughuli nyingi rasmi za kiuchumi tupate angalau watanzania milioni 20 wanaolipa direct tax. Kati ya milion 33,000,000 Hawa Milion 13 watasaidia kwenye indirect hao wanaobaki Kama milioni 30 niwatoto wadogo under 15 na Wazee wetu over 65
Idadi ya walipa Kodi milioni 4 imepatikana kwa kuangalia jumla ya wenye TIN number. Na kama mjuavyo hata bodaboda na bajaji zina TIN number.Yani Kati ya Nguvu kazi ya Tanzania 33,000,000 Ni watu chini ya milioni nne Pelee ndio wanalipa Kodi
Kodi zenyewe ndozile wanazochukua tiaraei kwanguvu ama 😊??
😂Mimi nakuangalia tu
Ni kweli kabisa ndiyo maana nawashangaa wenzangu wauzaji kulalamika kodi sababu anayelipa kodi ni mnunuzi. Wanachofanya ni kuweka bei ya mtaji pamoja na garama za undeshaji biashara faida na kodi ndiyo wanakuja pata bei ya kuuzia. Hiyo ya kusema direct sijui idirect tax ni kama mambo ya kuzunguka mbuyu tu. Mana yake kuna ile kodi ambayo unaiona moja kwa moja umekatwa mfano wafanyakazi ile ni direct ila huku tunaponunua soda beer sijui sigara unakutana na bei tu kumbe ndani tayari kuna kodi. Hakuna mfanyabiashara anayelipa kodi zote zinakuwa adjusted kwenye bei ya bidhaa. Ndiyo maana kodi ya beer ikipanda na bei ya beer utasikia imepanda. St Paka Mweusi umesema ukweli japo ni mchungu watu watakuja na povu ila ndiyo ukweli wenyewe.Kila mtu kulipa Kodi moja kwa moja haiwezekani.. Na kusema kuwa watanzania hawalipi Kodi ni kutotutendea haki.. Kila anayenunua bidhaa dukani huyo ni mlipa Kodi.. Kumbuka kuwa wafanyabiashara wote Kodi wanazolipa huwa wanazijumuisha kwenye bei za bidhaa zao kwa wateja wao.. Kwa hiyo hapa mlipa Kodi mkubwa ni mteja wa mwisho na wala sio huyu anayekusanya na kuzipeleka TRA,..
Akiwa mfanyakazi anakatwa kwenye personal income tax, PAYEJe hiyo 16% ni pamoja na wafanyakazi?
Kama ndio, je ikiwa kama mfanyakazi analipa kupitia biashara si 'double' counting?
Kama jibu ni hapana, je wafanyakazi si walipa kodi wa nchi hii?
Ni kweli kabisa ndiyo maana nawashangaa wenzangu wauzaji kulalamika kodi sababu anayelipa kodi ni mnunuzi. Wanachofanya ni kuweka bei ya mtaji pamoja na garama za undeshaji biashara faida na kodi ndiyo wanakuja pata bei ya kuuzia. Hiyo ya kusema direct sijui idirect tax ni kama mambo ya kuzunguka mbuyu tu. Mana yake kuna ile kodi ambayo unaiona moja kwa moja umekatwa mfano wafanyakazi ile ni direct ila huku tunaponunua soda beer sijui sigara unakutana na bei tu kumbe ndani tayari kuna kodi. Hakuna mfanyabiashara anayelipa kodi zote zinakuwa adjusted kwenye bei ya bidhaa. Ndiyo maana kodi ya beer ikipanda na bei ya beer utasikia imepanda. St Paka Mweusi umesema ukweli japo ni mchungu watu watakuja na povu ila ndiyo ukweli wenyewe.