Elections 2010 Chini ya asilimia 50, tunaenda mzunguko wa pili?

Real !! Mzee amekacha safari zote za UN na kwingineko na tunajua anavyopenda kukatiza anga. Analeta watu mikutanoni na ma FUSO, ameshirikisha mke na watoto, na sasa wameingia akina Lt.Shimb. Hizi ni dalili njema kweli!!
 
ok.. kumbe nanii yangu ya awali ilikuwa sahihi.. basi all in all nilidhani JK atakuwa na matumaini kwenye runoff; lakini sasa naamini Dr. Slaa atashinda by simple majority. Thanks for observation, I stand corrected.

Ukiona wazee kama nyie mnakubali matokeo mapema basi mwaka huu lazima kieleweke.
 
ok.. kumbe nanii yangu ya awali ilikuwa sahihi.. basi all in all nilidhani JK atakuwa na matumaini kwenye runoff; lakini sasa naamini Dr. Slaa atashinda by simple majority. Thanks for observation, I stand corrected.

Itauwa simple majority kwasababu ya kuweka uchakachuaji utakafanywa na ccm kama kawaida yao?
 
Hata akishinda kwa kura nusu ataapishwa.
lol
 
True. Sheria ya kijinga, Katiba ya Kijinga, NEC ya kijinga, Registrar of parties mjinga, Wapiga kura wakidanganyika wajinga and the army led by ****** and list goes on and on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…