Tumeona busara kuongeza thamani ya kile lilichopo kwa makundi ya vijana, wanawake na wenyewe ulemavu kupitia maelekezo ya utoaji wa fedha asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri ya ikungi ili miradi inayobuniwa iweze kuunganisha mnyororo wa thamani katika maeneo yao
Tunataka kutabadilisha maisha ya makundi haya matatu kwa kutumia mfumo imara wa kuhakikisha fedha wanazopatiwa zinaleta tija ya kubadili maisha yao kupitia shughuli za ubunifu wanazofanya katika kujipatia kipato
Ombi langu kwa vijana, kina mama na watu wenye ulemavu tujitahidi sana kubuni miradi endelevu yenye kuunganisha mnyororo wa thamani katika maeneo yao.
#IkungiYetu #KaziInaendelea