Chini ya Hayati Magufuli, wengi waliufyata. Tusiwalaumu

Chini ya Hayati Magufuli, wengi waliufyata. Tusiwalaumu

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Hata wa upinzani nao walikuwa hali moja sawa na waliokuwa Serikalini, wengine walikimbia nchi.

Ni lini CCM watakiri kuwa Marehemu Magufuli aligeuka na kuwa Dicteta kiasi ya wengine wakiwa nje ya nchi kumwita ni Dikteta uchwara?

Kwa upande wangu nyakati za kabla yake wengi tuliomba tupate kiongozi wa aina yake ili nchi ikae sawa na watu waheshimiane kwa kweli marehemu Magufuli alifanikiwa kwa hilo ikafikia viongozi hadi ngazi za chini walikuwa na heshima na adabu,wakisiliza hoja za wananchi na wakizifanyia kazi kwa haraka saana.

Magufuli alifanikiwa kuwadhibiti viongozi wote waliomo Serikalini na pamoja wa chama chake na kuwafanya wawe powerless, wenye kufuata upepo na amri bila ya kusema kwin'yoo. Aliwaweza vibaya sana.

Naona ni wakati sasa kwa CCM kukubali kuwa Bwana yule aliwaweka kiganjani na kuwatumia kama remote, CCM wakiri kuwa jamaa alikuwa dikteta dhidi yao.
 
Hakuwa dicteta bali alikuwa kidume cha maana, baba akisema wwngine kimya na pia tusimulaumu kwani sote tuilomba kupata dicteta asiyependelea na kweli hata CCM walianza kutozwa kodi banadalini ingawa mwanzo walikuwa wakifanya biashara bila kulipa kodi
 
Back
Top Bottom