joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hivi hapo Kenya kuna tatizo gani, kwanini Uhuru Kenyatta hapendi kukaa muda mrefu kutatua shida za wananchi wake wanaokabiliwa na matatizo lukukii?.
Muda mwingi wa Uhuru Kenyatta anautumia akiwa katika ndege za kifahari angani, na katika nchi za nje, inaonekana kama vile anahisi usumbufu akiwa Kenya akisikia kelele za Tangatanga na kieleweke.
Sasa gharama zote hizi añazopoteza, mbona hatuoni matunda yake, badala yake World Bank inatoa tahadhari kwa wakopeshaji na wawekezaji wasikubali kuikopesha Kenya kwasababu haina uwezo wa kulipa Madeni?