Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Ya jirani yanakuwasha nini sasa.
Matatizo ya jirani yaweza kukuathiri nawewe.š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya jirani yanakuwasha nini sasa.
Ninyi ni tribalists, racest, killers and corrupt.Magufuli kawapa kazi watu wenye low IQ. Mnadhani sijui nyie ni vibarakala wa CCM?
Kipindi cha lala salama hicho, dili lazima zifanyike.Hivi hapo Kenya kuna tatizo gani, kwanini Uhuru Kenyatta hapendi kukaa muda mrefu kutatua shida za wananchi wake wanaokabiliwa na matatizo lukukii?.
Muda mwingi wa Uhuru Kenyatta anautumia akiwa katika ndege za kifahari angani, na katika nchi za nje, inaonekana kama vile anahisi usumbufu akiwa Kenya akisikia kelele za Tangatanga na kieleweke.
Sasa gharama zote hizi aƱazopoteza, mbona hatuoni matunda yake, badala yake World Bank inatoa tahadhari kwa wakopeshaji na wawekezaji wasikubali kuikopesha Kenya kwasababu haina uwezo wa kulipa Madeni?
Mchamba wima.KWANI TANGANYIKA NA KENYA IPI ILIYOENDELEA
Uhuru atazunguka dunia mzima lakini hawezi fika Kisumu(Jaluo Nation) bila Kuwepo Raila, watamchinja kama kuku na wagawane nyama yake.Jiwe hawezi fika South Africa kisa atanyang'anywa Ndege na mkulima afu arudi mguu ama aanze omba omba Kama kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wewe ni mlipa ushuru Kenya?
Kwa kweli Magufuli aliwapa kazi bozo ovyo sana. You really don't sound like a qualified intelligence officer. Hapa kenya guard wa G4S anakushinda na akili!
Uhuru atazunguka dunia mzima lakini hawezi fika Kisumu(Jaluo Nation) bila Kuwepo Raila, watamchinja kama kuku na wagawane nyama yake.
Na bado kisha..mkinunua ndege, tunamsafirisha..ngoma draw[emoji1787][emoji1787]
Heheee, nashangaa mbona anateta Sana kuliko walipa ushuru wa kenyaHahaaaa!!wadaisha akina joto ni wa kutoka TISS[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ata hujui unachosemaracest
Sikujua kumbe ikulu akiondoka president wengine hawatakiwi kushughulikia mengine yaendeHivi hapo Kenya kuna tatizo gani, kwanini Uhuru Kenyatta hapendi kukaa muda mrefu kutatua shida za wananchi wake wanaokabiliwa na matatizo lukukii?.
Muda mwingi wa Uhuru Kenyatta anautumia akiwa katika ndege za kifahari angani, na katika nchi za nje, inaonekana kama vile anahisi usumbufu akiwa Kenya akisikia kelele za Tangatanga na kieleweke.
Sasa gharama zote hizi aƱazopoteza, mbona hatuoni matunda yake, badala yake World Bank inatoa tahadhari kwa wakopeshaji na wawekezaji wasikubali kuikopesha Kenya kwasababu haina uwezo wa kulipa Madeni?
Heheee, nashangaa mbona anateta Sana kuliko walipa ushuru wa kenya
Heheee, nashangaa mbona anateta Sana kuliko walipa ushuru wa kenya
Hahahaha.... Duuuh
Kipindi cha lala salama hicho, dili lazima zifanyike.
Mchamba wima.
Kutembea kwa wanaume wenzio, wao wamewezaje wewe kikakushinda? Slavery mentalityKenyatta akili zake za kimjini mjini kama Kikwete the don.
Waswahili wanasema mtembea bure si sawa na mkaa bure.
Ongeza sautiKutembea kwa wanaume wenzio, wao wamewezaje wewe kikakushinda? Slavery mentality
KWANI TANGANYIKA NA KENYA IPI ILIYOENDELEA
Kenyatta akili zake za kimjini mjini kama Kikwete the don.
Waswahili wanasema mtembea bure si sawa na mkaa bure.
Anahangaikia mikopo nchi ishafilisika ileHivi hapo Kenya kuna tatizo gani, kwanini Uhuru Kenyatta hapendi kukaa muda mrefu kutatua shida za wananchi wake wanaokabiliwa na matatizo lukukii?.