Chini ya masaa 72 baada ya kutoka Urusi na Japan, Uhuru Kenyatta aondoka tena Kenya

Hivi hapo Kenya kuna tatizo gani, kwanini Uhuru Kenyatta hapendi kukaa muda mrefu kutatua shida za wananchi wake wanaokabiliwa na matatizo lukukii?.

Muda mwingi wa Uhuru Kenyatta anautumia akiwa katika ndege za kifahari angani, na katika nchi za nje, inaonekana kama vile anahisi usumbufu akiwa Kenya akisikia kelele za Tangatanga na kieleweke.

Sasa gharama zote hizi aƱazopoteza, mbona hatuoni matunda yake, badala yake World Bank inatoa tahadhari kwa wakopeshaji na wawekezaji wasikubali kuikopesha Kenya kwasababu haina uwezo wa kulipa Madeni?
Kipindi cha lala salama hicho, dili lazima zifanyike.
KWANI TANGANYIKA NA KENYA IPI ILIYOENDELEA
Mchamba wima.
 
Jiwe hawezi fika South Africa kisa atanyang'anywa Ndege na mkulima afu arudi mguu ama aanze omba omba Kama kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uhuru atazunguka dunia mzima lakini hawezi fika Kisumu(Jaluo Nation) bila Kuwepo Raila, watamchinja kama kuku na wagawane nyama yake.
 
Hahaaaa!!wadaisha akina joto ni wa kutoka TISS[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani wewe ni mlipa ushuru Kenya?
Kwa kweli Magufuli aliwapa kazi bozo ovyo sana. You really don't sound like a qualified intelligence officer. Hapa kenya guard wa G4S anakushinda na akili!
 
Na bado kisha..mkinunua ndege, tunamsafirisha..ngoma draw[emoji1787][emoji1787]
Uhuru atazunguka dunia mzima lakini hawezi fika Kisumu(Jaluo Nation) bila Kuwepo Raila, watamchinja kama kuku na wagawane nyama yake.
 
Hivi hapo Kenya kuna tatizo gani, kwanini Uhuru Kenyatta hapendi kukaa muda mrefu kutatua shida za wananchi wake wanaokabiliwa na matatizo lukukii?.

Muda mwingi wa Uhuru Kenyatta anautumia akiwa katika ndege za kifahari angani, na katika nchi za nje, inaonekana kama vile anahisi usumbufu akiwa Kenya akisikia kelele za Tangatanga na kieleweke.

Sasa gharama zote hizi aƱazopoteza, mbona hatuoni matunda yake, badala yake World Bank inatoa tahadhari kwa wakopeshaji na wawekezaji wasikubali kuikopesha Kenya kwasababu haina uwezo wa kulipa Madeni?
Sikujua kumbe ikulu akiondoka president wengine hawatakiwi kushughulikia mengine yaende
 
Hivi hapo Kenya kuna tatizo gani, kwanini Uhuru Kenyatta hapendi kukaa muda mrefu kutatua shida za wananchi wake wanaokabiliwa na matatizo lukukii?.

Muda mwingi wa Uhuru Kenyatta anautumia akiwa katika ndege za kifahari angani, na katika nchi za nje, inaonekana kama vile anahisi usumbufu akiwa Kenya akisikia kelele za Tangatanga na kieleweke.

Sasa gharama zote hizi aƱazopoteza, mbona hatuoni matunda yake, badala yake World Bank inatoa tahadhari kwa wakopeshaji na wawekezaji wasikubali kuikopesha Kenya kwasababu haina uwezo wa kulipa Madeni?
Anahangaikia mikopo nchi ishafilisika ile
 
Back
Top Bottom