Chini ya masaa 72 baada ya kutoka Urusi na Japan, Uhuru Kenyatta aondoka tena Kenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Hivi hapo Kenya kuna tatizo gani, kwanini Uhuru Kenyatta hapendi kukaa muda mrefu kutatua shida za wananchi wake wanaokabiliwa na matatizo lukukii?.

Muda mwingi wa Uhuru Kenyatta anautumia akiwa katika ndege za kifahari angani, na katika nchi za nje, inaonekana kama vile anahisi usumbufu akiwa Kenya akisikia kelele za Tangatanga na kieleweke.

Sasa gharama zote hizi añazopoteza, mbona hatuoni matunda yake, badala yake World Bank inatoa tahadhari kwa wakopeshaji na wawekezaji wasikubali kuikopesha Kenya kwasababu haina uwezo wa kulipa Madeni?
 
KWANI TANGANYIKA NA KENYA IPI ILIYOENDELEA
 
Ungelijiuliza kwnn mnanunua mindege wakati bongo vyuma vimekazaa
 
Yuko kwenye fungate
 
Kwani wewe ni mlipa ushuru Kenya?
Kwa kweli Magufuli aliwapa kazi bozo ovyo sana. You really don't sound like a qualified intelligence officer. Hapa kenya guard wa G4S anakushinda na akili!
 
Ya jirani yanakuwasha nini sasa.
 
Jiwe hawezi fika South Africa kisa atanyang'anywa Ndege na mkulima afu arudi mguu ama aanze omba omba Kama kawaida😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kenyatta akili zake za kimjini mjini kama Kikwete the don.
Waswahili wanasema mtembea bure si sawa na mkaa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…