Chini ya Msambatavangu na Tulia itaichukua CHADEMA muda mrefu kurudi Iringa na Mbeya

Nashangaa Sana hata huyo jesca kujifanya mtumishi wa Mungu wakati uchaguzi uliopita alipita kwa kura za wizi mtupu na hakushinda Iringa
Yani jesca barabara ya bypass tu ina km 7 anashindwa kuiombea hela serikali kuu kazi kuongea habar hazina maana
 
Facts ni kwamba chini ya ubunge wa sugu Mbeya na mnyika iringa HAKUNA LA MSINGI LA MAENDELEO LILILOFANYIKA, WANANCHI WATAKAPOTAKA KUWARUDISHA WATU HAO, ITASHANGAZA SANA LAKINI NI HIYARI YAO!, WANA MACHO WANA MASIKIO!
Watu wa CCM bure kabisa!! Sasa ni lini Mnyika aliwahi kuwa Mbunge wa Iringa??
 
Unaweza kulisaidia jukwaa hili kulipa facts juu ya madai yako kua sugu hakua na siasa saf how? Sugu hakupeleka maendeleo how kwamba alikula pesa za maendeleo ya wana Mbeya? Tunahitaji facts katika hii conception yako tafadhali!!!
Hilo la kula pesa sijui lakini la maendeleo unaona wazi. Mbeya ya sugu ilikuwa chafu byeusi kama slums za Kariobangi kwa Raila. Mbeya ya tangu zamani ilikuwa ni kivutio bora sasa ineanza kurudi.
 
Hilo la kula pesa sijui lakini la maendeleo unaona wazi. Mbeya ya sugu ilikuwa chafu byeusi kama slums za Kariobangi kwa Raila. Mbeya ya tangu zamani ilikuwa ni kivutio bora sasa ineanza kurudi.
Hoja yako ni vzr ukaiweka sawa! Unataka kuliambia hili jamvi kua Sugu kua mbunge ndo akaleta uchafu Mbeya mpaka ikawa chafu? Means tulia kaleta usafi? Nadhan sometimes ni vzr kuleta hoja zenye facts!!
 
Uongo mtupu
 
Ndoto zingine bwana
 
Hilo la kula pesa sijui lakini la maendeleo unaona wazi. Mbeya ya sugu ilikuwa chafu byeusi kama slums za Kariobangi kwa Raila. Mbeya ya tangu zamani ilikuwa ni kivutio bora sasa ineanza kurudi.
Huna hoja unalopoka tu ccm inakudangnya 2025 watarud walipokuwa watu sio wajinga lbda mpitishe maboksi ya kura tena
 
Naomba nitumie uzi huu kuweka kumbukumbu sawa ya mjadala unaoendelea na kutunushiana msuli baina ya Spika Tulia na Sugu.

Hakuna mwanaume wa kuwashinda hao wanawake kwenye majimbo hayo na yeyote atakayejaribu ataambulia aibu, sio kwa sababu naongea kiushabika wa CCM bali ni ukweli tupu na hata atayethubutu kushindana nao ndani ya CCM wataambulia aibu.

Huu ni ushauri bora kwa Sugu, Tulia kakuzidi kila kitu atakuaibisha bure.
 
Umaskini mbaya sanaa chawa wa mama hao mademu safari yao imeishia hapo
 
Wakati wa Magufuli mlisema hakuna tena RAIS atakayeleta Maendeleo kama Magufuli Leo tuna Mama SAMIA Endelea na siasa za kama Magufuli
 
Facts ni kwamba chini ya ubunge wa sugu Mbeya na mnyika iringa HAKUNA LA MSINGI LA MAENDELEO LILILOFANYIKA, WANANCHI WATAKAPOTAKA KUWARUDISHA WATU HAO, ITASHANGAZA SANA LAKINI NI HIYARI YAO!, WANA MACHO WANA MASIKIO!
Acha mihemko Toka lini Mnyika akawa mbunge wa Iringa?
 
Kutokuwapa ubunge mchungaji Msigwa na Sugu ni uwezo mdogo wa watanzania kuelewa akili kubwa alinayo Msigwa na Sugu au Lisu.Ona hata hu mgogoro wa ziwa Nyasa.Inabidi safari hii tutafute wabunge wenye akili kubwa mikoa ya kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…