Chini ya Rais Samia Suluhu, kila familia itapata maji safi na salama

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
270
Reaction score
362
Jitihada za kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata maji safi na salama chini ya Rais Samia Suluhu ni jitihada za kupongezwa sana kwani zimekuwa na muendelezo chanya tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani.

Kwa mujibu wa ripoti ya tathmini ya ukuwaji wa uchumi katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 kati ya Januari - Machi 2022. Kiwango cha ujazo wa maji yanayosambazwa kwa Wananchi kimeendelea kuimarika zaidi ukilinganisha na kiwango cha robo ya kwanza ya mwaka 2021.

Shughuli hii inajumisha uchimbaji wa visima, kutibu maji magumu kuwa maji malaini kwa ajili ya matumivi ya binadamu na kilimo, uchimbaji wa visima binafsi na uvunaji wa maji mvua.

Takwimu kutoka NBS zinaonesha kwamba kiwango kimeongezeka kutoka cubic meter milioni 76.8% mwaka 2021 katika robo ya kwanza mwaka huo, hadi kufikia cubic meter milioni 86.9% katika robo ya kwanza ya mwaka huu.

Hii sawa na ongezeko la asilimia 11.9 kutoka asilimia 9.0 ya robo ya kwanza ya mwaka 2021.

Kuimarika kwa sekta hii kumetokana na jitihada zilivyofanywa na serikali ya Rais Samia Suluhu kuwa kuboresha miundombinu ya maji mijini na vijijini.
 
Acheni utapeli wa kijinga. Samia hata atawale miaka 100 hawezi kufikia hizi propaganda zenu.
 
Back
Top Bottom