Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wananza sex toka wame baleghee sa unafikiria wataenda miaka mingapi...afu wengine wana fanya sex kama sifa yani akimpata mwanamke mpaa ampige vinane au tisa kwa siku ndo anajiona dume sa wakisha anza kufika kwenye 40+ wanasingizia vyakula :biggrin:kwanini hizi nguvu siku hizi zimekua gumzo?
Kwa mwenye uthibitisho jamani, je kuna ukweli wowote kuwa ulaji wa chips unasababisha upungufu wa nguvu zakiume?
Sababu Kuu 9 za upungufu wa nguvu za kiume
Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Kupiga Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.
TIBA YAKE:
chukua mbegu za tikiti maji zikaange halafu zitwange ili zitoe unga, chukua juici ya kitunguu thaumu lita moja na asali lita moja changanya pamoja juisi ya kitunguu thaumu na asali weka na vijiko kumi vikubwa vya unga wa tikiti maji koroga vizuri na uwe unakunya dawa hii kikombe kimoja cha kahawa mara tatu kila siku kwa muda wa wiki moja.
DAWA YA NGUVU ZA KIUME KWA MWENYE KUTAKA BONYEZAHAPA.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawaza-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html#post3340821
Asante bibie afrodenzi mimi sio Mganga wa jadi mimi ni Herbalist Mtaalamu na Mchunguzi wa Dawa za asili za mitishamba.katika familia yangu wapo wanaumwa na huwa nawapa ushauri wa kutumia dawa za mitishamba na wengiMkuu Mzizi Mkavu , watu kwenye familia yako
wanaumwaga kweli ? Maana unatiba na unaadawa yako ya kuzuia magonjwa ..
Je we ni mganga wa Jadi ?
kwanini hizi nguvu siku hizi zimekua gumzo?
Kwa mwenye uthibitisho jamani, je kuna ukweli wowote kuwa ulaji wa chips unasababisha upungufu wa nguvu zakiume?