Kiziza
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 439
- 77
Kwa mwenye uthibitisho jamani, je kuna ukweli wowote kuwa ulaji wa chips unasababisha upungufu wa nguvu zakiume?
Watu wanasingizia chipsi sijui kutafuta jibu rahisi au ni nini,kwani chipsi si wanga sawa na ugali,wali,chapati na vyakula vingine vya
wanga?
Acheni kuwahi kufanya ngono,na kufanya na wanawake wengi ukidhani sifa,ukija kuoa kifaa kinakuwa ni mtumba wa grade ya mwisho matokeo ndio hayooo .