Chips za Magufuli wa masaki ni tamu kinyama

Chips za Magufuli wa masaki ni tamu kinyama

Watu wa Dar bana,yaani bado mnaendelea kula chips!halafu siku mbili tu mnaanza kuja kulalamika ohh nawahi,mara ohh inakuwa hivi..

Watu wa Dar huwawezi mkuu...maisha yetu tunayajua sisi wenyewe
 
Ukiona chipsi zimekuwa tamu (isivyo kawaida) basi ujue wese lililotumika kuzikaanga ni la yule myama pendwa!

Duh! Nimekunyooshea mikono! Wewe ni hatari kwenye hii fani!

Sio [emoji489] peke yake hiyo mishkaki jee utamu wake ni zaidi ya chipi.mishkaki ni [emoji91][emoji91]wa kuotea mbali..

Unakaribishwa sana.
 
Hili tangazo linawafaa wanaume wa Daslam....[emoji12] [emoji12]
Hao wa dar waliohamia pia Bilal ( Rip)aunt Suzy,delicious, bashite kuna kina Ray si wa maigizo nimemjua juzi,
Ray punga kimodo flani hivi kilikuwa deported toka Europe .
,Saimon hili pande la mtu na lilikua nbc pesa kibao likawekwa ndani na muuza bucha
Hawo kwenye viepe huwakosi pale amerikan chips kituo. Ukienda chochoro wibu togo huku hukosi ila uwe kamili vinginevyo utarudi unalia moroko road jamaa wamelamba chao na demu we ulifata msambwanda wamebeba na ww uliponea kubakwa .
 
Picha zaidi ya hili paja la nguvu zitapendeza.

Habari wakuu,,,

Msistuke kusikia Magufuli [emoji16][emoji16]ni jina la kijana wa mtaani kabisa..

Aiseeh kuna wakaka wawili maeneo ya supa Masaki,wote ni watu wa kanda ya kaskazini..huyo niliyekula leo chipsi kwake anaitwa Magufuli halloo anapika chipsi vumbi na mishkaki mitamu ni kinyamaaaa..

Mwanzo nilikuwa napaona pabaya pabaya tu lkni aiseeh kumbe ni bonge la chimbo ni kinyama...

[emoji16][emoji16][emoji16]sifanyi matangazo,maana watu hawakawii[emoji6][emoji6][emoji6]


"Timoth"(Kyalow)baba nitakupeleka ukapambane na vumbi la pale.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji111]️

Karibuni.View attachment 771191View attachment 771194View attachment 771196
 
Back
Top Bottom