Chips Zege ya Clouds

Chips Zege ya Clouds

achane ushamba wa tanzania chips inaliwa ulimwenguni kote haina mwanaume au mwanamke duniani kote kuna KFC branches za kimarekani. na ulaya ndio wanaoongoza kwa kula chips
Ni kweli na ndio wanakoongoza kwa NCD's.
 
achane ushamba wa tanzania chips inaliwa ulimwenguni kote haina mwanaume au mwanamke duniani kote kuna KFC branches za kimarekani. na ulaya ndio wanaoongoza kwa kula chips
Ushamba ni kufananisha chips za KFC na zege unalokula kitaani
 
Imagine zama hizi ambazo dunia nzima inapambana na magonjwa yasiyoambukiza (Non Communicable Diseases) yakiwemo Magonjwa ya Moyo, Sukari, Cancers etc, ni nyakati ambazo dunia nzima inasisitiza kuepuka vyakula vyenye viashiria vya visababishi vya Magonjwa haya (kwa mfano kuepuka vyakula vinavyolowekwa kwenye mafuta kama chips etc) lakini hawa jamaa wameanzisha kabisa kampeni ya ku promote Chips Zege.

Je, kuna lengo gani nyuma ya kampeni zao? Kulikua na umuhimu gani wa ku promote Chips zege tena kwa vijana wa Dar es Salaam?

My take: Hawa jamaa badala ya ku promote lifestyle na vyakula vinavyotajwa kuwa na visababishi vya NCD, basi wangetumia muda huo ku promote ulaji wa balanced diets, matunda kwa wingi, white meat, mboga mboga etc.
Sio lazima kila kitu ukiingia mkono

Jifunze kuelewa muktadha mzima wa chips zege
 
Ndio mana magonjwa ya sukari na presha ni mengi sana biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Wenyewe wanasema "mbuzi kala koti"
Eti mbuzi kala koti, haha
Clouds wana walengwa wao.. inaweza kuwa sio mimi na wewe lakini wapo watu wanafurahia hivi vitu..

Kupitia huo huo unaoonekana “ujinga “ kuna watu wanaenjoy mnoo na clouds nao wanapata walichokitaka...
 
Imagine zama hizi ambazo dunia nzima inapambana na magonjwa yasiyoambukiza (Non Communicable Diseases) yakiwemo Magonjwa ya Moyo, Sukari, Cancers etc, ni nyakati ambazo dunia nzima inasisitiza kuepuka vyakula vyenye viashiria vya visababishi vya Magonjwa haya (kwa mfano kuepuka vyakula vinavyolowekwa kwenye mafuta kama chips etc) lakini hawa jamaa wameanzisha kabisa kampeni ya ku promote Chips Zege.

Je, kuna lengo gani nyuma ya kampeni zao? Kulikua na umuhimu gani wa ku promote Chips zege tena kwa vijana wa Dar es Salaam?

My take: Hawa jamaa badala ya ku promote lifestyle na vyakula vinavyotajwa kuwa na visababishi vya NCD, basi wangetumia muda huo ku promote ulaji wa balanced diets, matunda kwa wingi, white meat, mboga mboga etc.
Hawa jamaa ni miongoni mwa illiterate people hawana weledi, wanakurupuka Sana na Wana jipendekeze Sana ili kupata TEUZI wako hopeless but also serikali inawatazama tu wakati miongozo ipo
 
Back
Top Bottom