Chipsi mayai tamu sana

Chipsi mayai tamu sana

Ongeza na mishikaki kachumbari na ketchup, Mimi marinda orange

1545085357339.jpeg
 
M napenda mda wa kuikaanga achanganye na mishkaki miwili afu nishushie na Pepsi baridiiiiiiii ,hapo pilipili ya chachandu iwe nyingi bila hivyo bora tu nisile.
 
napenda sana chipsi mayai kwa kweli tamu sana asa ukishushia mirinda nyeusi.
Yaani mimi ukiniandalia chips mayai unipikie na ugali pembeni, hiyo Chipsi yai nitaitumia kama mboga. Sijawahi kuita hii kitu ni chakula ya kushiba.
 
Katka vyakula hatari kwa afya yako ni pamoja na chips yai
 
Back
Top Bottom