Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kisutu hamnaga kama zile. ZAmerican chips ilikula nikaipenda na jana tena nimenunua hawajaniangusha.Aaaaha sekela mi napenda za kisutu au kkoo sehemu zingine naonaga Kama wanatania tu....
Nikishindwa kisutu hata pale sio mbaya japo hawana vikorombwezo kama vile vya kisutu