Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Mimi nataka nile ugali mgumu hata mbwa akiuruka na kujikwaa lazima avunjike vidole(sijui kama mbwa huwa ana vidole).Ongeza na mishikaki kachumbari na ketchup, Mimi marinda orange
Sijui kwanini huwa sipendi kabisa huu mchanganyiko
tamu balaa
Sori we ni me au ke
Aaaaha sekela mi napenda za kisutu au kkoo sehemu zingine naonaga Kama wanatania tu....Sana jamani. Nikitoka hapa nazipitia American chips na sekela nirudi nyumbani kulala
Yaani mimi ukiniandalia chips mayai unipikie na ugali pembeni, hiyo Chipsi yai nitaitumia kama mboga. Sijawahi kuita hii kitu ni chakula ya kushiba.napenda sana chipsi mayai kwa kweli tamu sana asa ukishushia mirinda nyeusi.
Kwangu mimi hii ni mboga, hapo bado ugali wangu wa dona pembeni
Mkuu kuna sekela mtaa wa arusha ni balaaaAaaaha sekela mi napenda za kisutu au kkoo sehemu zingine naonaga Kama wanatania tu....
Katka vyakula hatari kwa afya yako ni pamoja na chips yai
Hatareee, na ukijizoesha Sekela vyuku vya kupika kawaida hutaki hata kuzisikia hahahahaMkuu kuna sekela mtaa wa arusha ni balaaa