Chipsi mayai tamu sana

Aaaaha sekela mi napenda za kisutu au kkoo sehemu zingine naonaga Kama wanatania tu....
Kisutu hamnaga kama zile. ZAmerican chips ilikula nikaipenda na jana tena nimenunua hawajaniangusha.
Nikishindwa kisutu hata pale sio mbaya japo hawana vikorombwezo kama vile vya kisutu
 
Hahahaha ila mtu ukiwa mpenda Kula ni tabu, nafikiria mtu unatoka kwako kufata chakula Mahala Fulani afu ukishiba unaanza kujiuliza hivi ilikuwaje nmekuja mpaka Huku kuanza tena kurudi home khaaa nachukiaga mm
 
Nikishiba natoa majuto yoteee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…