Chit-Chat Full time Job...iVi Mnajuana ama?

Last edited by a moderator:

Nimepokea Ukaka wa Hiyari...Familia imebarikiwa Haswaaaa...cousins wa kutoshaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
charminglady nimegundua kwamba nilivamia jukwaa bila kukaribishwa!!@Erickb52 Arushaone @Fillipo blackwoman niombeeni msamaha jukwaani!!
Kwa heshima,Hodiiii!!! Naombeni japo udada wa hiari!!!
 
Last edited by a moderator:

Kumbe watu hawajui kuwa kuna maisha zaidi ya JF?
Naomba kutoa taarifa kwa uma kuw charminglady jina lake lamfit vizuri kabisa.......ila mama watoto wangu sweetlady naona usweet wazidi ongezeka kila siku
 
Last edited by a moderator:
[QUOTmarejesho;charminglady[/MENTION] nimegundua kwamba nilivamia jukwaa bila kukaribishwa!@Erickb52 Arushaone @Fillipo blackwoman niombeeni msamaha jukwaani!!
Apology Granted marejesho! mzima wewe?
 
Last edited by a moderator:
Nimepokea Ukaka wa Hiyari...Familia imebarikiwa Haswaaaa...cousins wa kutoshaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

usijali kaka yetu. . .
haya haya ndo tushampata kaka hapa. sis sweetlady, WiseLady tumempata kaka wa hiyari. our parents watu8 na mum measkron naomba tumpokee mwanafamilia huyu kwa mikono na miguu hasa mkizîngatia hatukuwa na kaka. . . Davie S.M karibu sana katika familia yetu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…