CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kumbe watu hawajui kuwa kuna maisha zaidi ya JF?
Naomba kutoa taarifa kwa uma kuw charminglady jina lake lamfit vizuri kabisa.......ila mama watoto wangu sweetlady naona usweet wazidi ongezeka kila siku
Nipo ma dia na malaria ilikua yanisumbua
asante my shem, thou nimeambiwa na my sister kuwa we co shem wangu tena. bt me ntaendelea kukuheshimu kama shem make ushem huwa haufi
hahahahaahh!!!! we unaonaje!!!!!!!!????????
umemsahau Mentor akiwa dady yake eversmiling,catherine mkewe mentor,beibe nasty akiwa aunt na wifi yake catherine,arabela akiwa dada yake eversmiling zubedayo miss u shem cjui ban bado haijaisha
Mbona umejibu kwa haraka sana?
Twajuana wengine mpaka kwa majina ya utotoni khaa! Kwani vipi?
eeeh wifi mzima wewe!!?? af we twin Eversmilin Gal nimekumicijeeeee!!!!!!!wifiii
Nyie ndo mnaodhani JF ni mali yenu. Anyway, mimi ni mpitaji tu.
He! Yamekuwa hayo tena? Kwaheri!
mmh Davie S.M karibu kwenye familia yetu kubwa, najua utakuwa kaka mzuri kwa dada zako
mume wangu watu8, kijana Davie S.M anaonekana kaka mwenye nidhamu atawaheshimu dada zake charminglady and WiseLady, karibu sana kwenye familia yetu yenye furaha, upendo amani na inayomcha mwenyezi mungu
tena wengine tunajuana priiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka Makka..............
Nimepokea Ukaka wa Hiyari...Familia imebarikiwa Haswaaaa...cousins wa kutoshaa
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
charminglady nimegundua kwamba nilivamia jukwaa bila kukaribishwa!!@Erickb52 Arushaone @Fillipo blackwoman niombeeni msamaha jukwaani!!
Kwa heshima,Hodiiii!!! Naombeni japo udada wa hiari!!!
Kwema lakin jombaa, karibu basi Kili time, pale kwa shabani, leo jioni, tupate hii mambo
hahahah umenichekesha... mpaka pengo likonekana........
hiyoo priiiiii mpaka maka jibu lake lilikuwa utelezi...... au hebu nikumbushe.....