Chit-Chat Full time Job...iVi Mnajuana ama?

davie,chichat ni zaidi ya uijuavyo,kwenye jukwaa hili usiingie kichwa kichwa usijekula za uso.

Bishanga acha kumtisha mgeni bhana! Khaa... Davie jifeel uko home hapa, ukitaka mchumba ruksa ila usibake ingawa wazuri
 
Last edited by a moderator:

Nyimbo za ngomani hazifanyiwi rehearsal, mtu unajifunzia hapo hapo ngomani!
 
davie,chichat ni zaidi ya uijuavyo,kwenye jukwaa hili usiingie kichwa kichwa usijekula za uso.

we bepari mbona unataka kutupeperushia kakayetu? Davie feel at home achana na huyu bepari ana kiroho cha kwanini. . . . tenaaaaa!!!!
 
marejesho , huhitaji kuomba msamaha, nilisha kutambulisha kwa shemeji zako na wifi zako wote. Jimwage tu humu. Wakiku"tokea" waambie unae Filipo . Feel free dear!

Nashukuru kama uliweka wazi kabisa!!!
 
hiyo kitu umeweka hapo imeugusa mtima wangu! Tatizo hapo Kili time kuna wahudumu wazee sana. Njoo A-towners karibu na Lenana!

Yu sii.. hata bosi wao sijui alikuwa anachinjwa akaponyoka maana hilo ngeu la shingoni... Filipo wapi leo tujimwage?? Nadhani tuanze tu weekend leo kama hauko bize sana.: Smash:
 
Last edited by a moderator:
Yu sii.. hata bosi wao sijui alikuwa anachinjwa akaponyoka maana hilo ngeu la shingoni... Filipo wapi leo tujimwage?? Nadhani tuanze tu weekend leo kama hauko bize sana.: Smash:

nilikuwa bize sana na mpira! Nimeanza na Jkt Oljoro vs Coast Union, halafu Yanga na Simba, kisha Arsenal. I hope tutaonana this wk end!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…