Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Bange mbaya aisee!
Nani amekwambia kuwa verified user title inauzwa/inalipiwa?
Kupunguza utumbo humu' inabidi watu wawe Verified user, kidogo watakua na nizamu na wanacho post au thread wanazo anzisha' kama mtu hataki kua Verified user awe analipa kila anapo comment au kuanzisha thread mpya. In short Verified user iwe free.
Waco verified wawe wanalipia kila wanapo log in' Mod nakupa angalizo marufuku kuhamisha uu uzi.
Bange mbaya aisee!
Hujanielewa' namaanisha mtu akiwa verified user' anakua free ku post na kukoment' ila asie verified inabidi awe analipia
Mmmmhhhh aisee,yaani una maana mke wa pou anapiga msuba? Dah!
Sasa huoni kuwa na wewe umemwaga pumba hapa??
Eti mods marufuku kuhamisha,huku umepost jukwaa lisilo stahili!!
Kwani kuwa verified user kunazuiaje kupost mambo ya kijinga?
Kidogo' mtu anakua anajishtukia
Kujishtukiaje? Mbona wapo verified user humu daily wanaandika pumba?na wengne wamepigwa ban
We mama nenda kanyonyeshe'
Basi' iwe watu wanalipia kuanzisha thread' ila hi iwe kwa wale ma user wasio zidi mwaka mmoja
Basi' iwe watu wanalipia kuanzisha thread' ila hi iwe kwa wale ma user wasio zidi mwaka mmoja