Chit - Chat Juu ya hili mawazo makini yanahitajika

Umri uko wa namna mbili;-kuna
umri wa miaka na umri wa
kifikra,kuna wanaozeeka kifikra
hata kama bado ni vijana,na kuna
wazee ambao kifikra bado ni
vijana sana pamoja na kuwa na umri mkubwa!!!!
 
Kidogo' hapo unaonekana una mawazo mazuri' co haka ka Marry
Umri uko wa namna mbili;-kuna
umri wa miaka na umri wa
kifikra,kuna wanaozeeka kifikra
hata kama bado ni vijana,na kuna
wazee ambao kifikra bado ni
vijana sana pamoja na kuwa na umri mkubwa!!!!
 
Naona huu uzi ni wa watu 3 tu...haya endeleeni
 

Utumbo wa kwanza kupunguzwa humu ni hii thread yako.
 

kwenye red. Ulimaanisha nini?
 
We manoah,hebu kalale kwanza,halafu ukiamka uje usome hizi Ideas zako unazo andika.
Mbona watema pumba wengi tu hapa ni members over 1 year?
Jipange ma dear!!

Bidada haya maakili ulizaliwa nayo?
Au umejifunzia Jeiefu?
Unanimwagiaje mapwenti !
Utafikiri ulikuaga mtoto wa Mwl. Mkuu! Khaaa!
 
Last edited by a moderator:
kwenye red. Ulimaanisha nini?
labda alimaanisha zamu (duty) alafu ukizidi chalenge na huyu , mi sitokuja shangaa nikiskia nicas kapelekwa India nozel ya kichwa imekatika!
 
Last edited by a moderator:
kwenye red. Ulimaanisha nini?
labda alimaanisha zamu (duty) alafu ukizidi challenge na huyu , mi sitokuja shangaa nikiskia nicas kapelekwa India nozel ya kichwa imekatika!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…