Hey...huu Uzi ni special kwa wana JF waliopata bahati ya kupata like ya mwanzilishi wa JF bwana ( maxence melo)
The boss himself njoo apa uelezee baada ya kuona comment yko amelike bwana huyu ulijiskiaje?
Naomba kuoa hoja
Mm haiakuwa birthday yake nilitoa hoja ata Cjui sku iyo akili nilitoa wap?Nilijiona wa bahati sana boss ku like comment yangu. Kama hujaipata like yake wala usiumize ubongo kutafuta namna ya kuandika comment nzuri kiwango cha kodi ya acacia, just wait birthday yake akianzishiwa thread tu nenda ka mu wish. Like utaipata vizuri tu.
Ila sergio ya kwako sijaipata,gongelea hapa nipate kuianza asubuhi vizuri.
Hapo red mmh
Poa kma unaona ulimbukeni mkuuHuo ni ulimbukeni wa makenika yaani like ikufanye ujisikie tofauti khaa kuna watu na watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayar nimeshapa Edit mkuu hapo kwenye redNilijiona wa bahati sana boss ku like comment yangu. Kama hujaipata like yake wala usiumize ubongo kutafuta namna ya kuandika comment nzuri kiwango cha kodi ya acacia, just wait birthday yake akianzishiwa thread tu nenda ka mu wish. Like utaipata vizuri tu.
Ila sergio ya kwako sijaipata,gongelea hapa nipate kuianza asubuhi vizuri.
Hapo red mmh
Mm haiakuwa birthday yake nilitoa hoja ata Cjui sku iyo akili nilitoa wap?
Duh..mbona kma umenidiss kishikaji iv
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm haiakuwa birthday yake nilitoa hoja ata Cjui sku iyo akili nilitoa wap?