Chit Chat special group

Chit Chat special group

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Hey...huu Uzi ni special kwa wana JF waliopata bahati ya kupata like ya mwanzilishi wa JF bwana ( maxence melo)
The boss himself njoo apa uelezee baada ya kuona comment yko amelike bwana huyu ulijiskiaje?
Naomba kutoa hoja
 
Nilijiona wa bahati sana boss ku like comment yangu. Kama hujaipata like yake wala usiumize ubongo kutafuta namna ya kuandika comment nzuri kiwango cha kodi ya acacia, just wait birthday yake akianzishiwa thread tu nenda ka mu wish. Like utaipata vizuri tu.

Ila sergio ya kwako sijaipata,gongelea hapa nipate kuianza asubuhi vizuri.

Naomba kuoa hoja

Hapo red mmh
 
Mm haiakuwa birthday yake nilitoa hoja ata Cjui sku iyo akili nilitoa wap?
 
Nilijiona wa bahati sana boss ku like comment yangu. Kama hujaipata like yake wala usiumize ubongo kutafuta namna ya kuandika comment nzuri kiwango cha kodi ya acacia, just wait birthday yake akianzishiwa thread tu nenda ka mu wish. Like utaipata vizuri tu.

Ila sergio ya kwako sijaipata,gongelea hapa nipate kuianza asubuhi vizuri.

Hapo red mmh
Tayar nimeshapa Edit mkuu hapo kwenye red
 
Back
Top Bottom