Chitchat na vituko,Jamani huu ni uchawi au?

Umesahau kuwa siku hizi ni nusu kwa nusu !

Utuli nishatia sa nyingi..........kwani bado harufu haijakufikia huko eeh?

Sema kama vipi nitie ule wa zanzibar!

Naona Beijing imewatia kiburi....ngoja mimi nitangulie kulala lakini hakikisha umekuja na godoro lako kabisa
 
mimi nahtajitu kujua huyo mwenye nyumba bado anaendea kuishi hapo ndani yanyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…