CHITCHAT yabamba! Yaipiku MMU

Ni kweli kwa sababu hata chama chetu cha CCM kinapendwa na aina
fulani ya watu katika jamii...
 
Ni kweli kwa sababu hata chama chetu cha CCM kinapendwa na aina
fulani ya watu katika jamii...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hamna cha MMU wala sijui CHITCHAT,jukwa la wakubwa ndo mpango mzima!![emoji1][emoji1][emoji1]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hamna cha MMU wala sijui CHITCHAT,jukwa la wakubwa ndo mpango mzima!![emoji1][emoji1][emoji1]

Post sent using JamiiForums mobile app
sorry hivi hilo jukwaa la wakubwa unaendaje huko. au kuna vigezo mkuu. maana hata huwa clioni? hebu nishike mkono unipeleke

Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimejiunga JF kupitia JAMII INTELLIGENCE maana kuna mada zinazohusu jicho la tatu ndo zilizonishawishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…