Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ni kweli kwa sababu hata chama chetu cha CCM kinapendwa na aina
fulani ya watu katika jamii...
Kama ni chuoni tu Mh, mshanajnr ana qualifications za angali ya saba katika uandishi.Asalaam. Naskia matokeo yetu yametoka ngoja nikaangalie niende chuo nami niwe na mwandiko wa kisomi kama mshana jr
sorry hivi hilo jukwaa la wakubwa unaendaje huko. au kuna vigezo mkuu. maana hata huwa clioni? hebu nishike mkono unipelekeHamna cha MMU wala sijui CHITCHAT,jukwa la wakubwa ndo mpango mzima!![emoji1][emoji1][emoji1]
Post sent using JamiiForums mobile app