CHITCHAT yabamba! Yaipiku MMU

CHITCHAT yabamba! Yaipiku MMU

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni ukweli wa wazi kwamba kwenye majukwaa ya JF MMU linabamba, MMU ni kama lango la JF kwakuwa wengi tumeingia JF kupitia hapo..... Naweza kusema ndio jukwaa pendwa zaidi labda kwakuwa linahusika na hisia na mahusiano
Ukiachana na majukwaa mengine jukwaa lingine maarufu ni CHITCHAT lakini ambalo kuna wakati lilipoteza kabisa mvuto mpaka kufikia kuandikiwa post! Inawezekana kabisa ni kutokana na ndoa nyingi za JF kuvunjika hali iliyopekelea familia nyingi za CHITCHAT kuparaganyika kabisa
a4d94305cd63862f4745df4a97402399.jpg

CHITCHAT imeweza kupita salama kipindi hicho kigumu na sasa ikiwa na mwonekano mpya(kimaudhui) kutokana na nyuzi na wachangiaji wake imekuwa ndio jukwaa linalobamba kwa uchangiaji na kusomwa zaidi.... MMU imepigwa mweleka mbaya
Nawapongeza sana CHITCHAT NEW GENERATION kwa ubunifu na kujituma mambo yaliyopelekea kuiinua up ya CHITCHAT
Hongereni sana[emoji322] [emoji323] [emoji322] [emoji323] [emoji323] [emoji323] [emoji322] [emoji322] [emoji322] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji781] [emoji781] [emoji781] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji188] [emoji188] [emoji116]

f35c8c573bc9270ed7974686258f19b1.jpg

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu...MMU hakunogi siku hizi...watu wanaongelea papuchi tu kila siku....papuchi papuchi....aaaaaarghhhhhhhh....
 
Asalaam. Naskia matokeo yetu yametoka ngoja nikaangalie niende chuo nami niwe na mwandiko wa kisomi kama mshana jr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji779] [emoji781] [emoji781] [emoji781] [emoji779]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mmu kwakweli ilikua
The best yan jukwaa bora


Kwang japo nlijiunga jf
Kwasababu ya jukwa la
Biashara na uchum

Ila mmu inapoteza mvuto
Kwa sababu ya uz thread
Uchwara uchwara znazowekwa huko unakuta
Uz hauna kichwa wala mguu


Chichat nlikua naidharau
Lakin now imenivutia
Yan imeinuka kama mnara
Wa Babel

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom