CHITCHAT yabamba! Yaipiku MMU

CHITCHAT yabamba! Yaipiku MMU

Asalaam. Naskia matokeo yetu yametoka ngoja nikaangalie niende chuo nami niwe na mwandiko wa kisomi kama mshana jr
niangalizie na mmi jina langu bro

huku niliko hakuna network
 
Ila matokeo ya Ajabu saana. Ukiwa unayaangalia muda huo hata ukiambiwa baby ninamimba yako.

Unaona sio ishu.
hahahaha
sanaa asee

kuna kuwaga kuna hali flan hivo kama there is nothing else than matokeo duniani.

halaf inachosha kuwa watu wanao shobokea matokeo huwa ni wengi ndugu, wazaz, majirani etc
 
hahahaha
sanaa asee

kuna kuwaga kuna hali flan hivo kama there is nothing else than matokeo duniani.

halaf inachosha kuwa watu wanao shobokea matokeo huwa ni wengi ndugu, wazaz, majirani etc
Hongereni kwa kufaulu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila matokeo ya Ajabu saana. Ukiwa unayaangalia muda huo hata ukiambiwa baby ninamimba yako.

Unaona sio ishu.
 
Hongereni kwa kufaulu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ahsanteeee

nataka nikasomee koz aliyo somea Albert Msando. pale mlimani
 
101614493.jpg

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom